
Furaha Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2025
Lyrics
Furaha - Harmonize
...
(Intro)
Bomboooclaaat
Kimambo on the beat
Aahhhh
Konde boy,call me number one
(Verse 1)
Ya dunia mengi
Leo nimegundua utofauti
Kati ya raha na furaha
Do you know that?
Hii dunia inamambo
Eti kumbe kuna utofauti
Kati ya raha na furaha
Mhh, kale ka distance
Baby sikuoni
Eti nikajiona nisha move on
Utadhani na-enjoy
Pombe zimenichosha, nipo hoi
(Pre chorus)
Dunia ina siri
Sio kila anayekula raha
Moyonj mwake anafuraha, eeeh
Lord have mercy
Nishagundua furaha yangu ni wewe
(Chorus)
Kule nilipata raha
Ila nkagundua
Furaha yangu ni wewe
Kwa wengine nitajisumbua
Furaha yangu ni wewe
Hata siku nikifa, naomba unizike wewe
Mimi na wewe, weewe
(Verse 2)
Siri ya nini, oooh
Acha nikwambie
Moyo wangu unatamba nao
Na wasikutishie wengine
Wanautaka wao
Ni lazima waichukie
Hii couple siyo level zao
Asubuhi tukigombana
Usiku ndo wapatanao
Mhh, kale ka distance
Baby sikuoni
Eti nikajiona nisha move on
Utadhani na-enjoy
Kumbe zimenichosha, nipo hoi
(Pre chorus)
Dunia ina siri
Sio kila unayemuona bar
Moyoni mwake anafuraha
(Chorus)
Lord have mercy
Nishagundua furaha yangu ni wewe
Kule nilipata raha
Ila nkagundua
Furaha yangu ni wewe
Kwa wengine nitajisumbua
Furaha yangu ni wewe
Hata siku nikifa, naomba unizike wewe
Mimi na wewe, weewe
(Outro)
Yoooh, yooh
It's Konde Boy
Call me number one
Bakhresa, aah
Konde Music Worldwide
Mamasitaaa
Tekero Tyokara
Mi Amore