
Police) ft. Ndovu Kuu & Mwanaa(V-BE) Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2025
Lyrics
Ukinipea nitakuita my ma
Huezi ride boda ntakubeba my car
Na skuangi late comer si unajua maissa
Na hata ukinijenga siezi ambia mabuda juu hio ni
Kitu kidogo police kidogo police
Una usoro mingi si ungekua tu police
Zogo dogo police
Ukifinywa police
Ume tokwa mpoa enda ulilie police
Kijanaa we ni morio anzenza ndio
Msupa wako anataka hitimo
Me ni mcheap niliichipo mbio
Sufuria safi kajazwa mbiro
Sikuanika nilianua nikalainisha
Naset naivisha nagandisha
Naapishwa naitishwa nagharamika
Pasa pasa wadhani jamaica
Ati wiu wiui
Unaniitia police
Unakuanga mwera sana na umejaza utoi
Manzi yako nilimlissha na akameza njoti
Akiskia fiti bana ulikuwa kwa police
Cheki sasa umeraundiwa na magwangi
Nilikusho hii mtaa buda hunanga charji
Saka form bro uwache izo yap yap
Ukirudi mtaani jua ni mangoto
Kitu kidogo police
Kidogo police
Unausoro mingi si ungekuwa tu police
Zogo dogo police
Ukifinywa police
Umetokwa mpoa enda ulilie police ×2
Morio madwangdungzi me nimemtoka ametii
Na martel ameshika buda me niko na gin
Huwanga bad side hii na manjege me nawaclean
Tuezi banja buda unakaa nikama uko na clit
Me ndo champe
Nashuka namadam wako buda kama pante
We unashika nare morio nashika magaldem
We mbleina huezi minya bila kutokwa mapacke
Macharji tumendasu buda unaeza kuja kwake
Police kidogo police umetokwa mpoa enda ulilie police
Zogo dogo police Ukifinywa police
Umetokwa mpoa enda ulilie police
Kitu kidogo police kidogo police Una usoro mingi
Si ungekua tu police Zogo dogo police Ukifinywa police Umetokwa mpoa enda ulilie police
Kitu kidogo kidogo
Una una
Unatokwa mpoa enda ulilie police