
Makofi ft. K4Kanali
- Genre:Alternative
- Year of Release:2022
Lyrics
Makofi ft. K4Kanali - Gwaash
...
Kikiki (Ingine mbaya) K for Kanali you know Fatboy Gwaash (Kuru) Hainanga kelele Leo me ni sterro nakusongesha kidere Speedy za 150 tukipunguzanga ngede Kaende kaende, ziraru raruere Party tulifika Kama tushakata drinks Io unamaanisha kutoka hapa jo tunamix Shadda inalula me najing mataxin, Saizo shawty anarushanisha sianda kwa scene, ati? Geuka mami tupige makofi Geuka mami tupige makofi Geuka mami tupige makofi Geuka mami tupige makofi Tupige makofi, tupige makofi Tupige makofi Hio sianda ina clap Kwanza baby ukitwerk Unanimada ninadry hella baby ju ya ass Kakikula hio swallo ndio najua una ass Sio dera unafaa, ni booty pant unafaa Pale coast kwenye beach, watajua you are my bitch Si utani hio haga itafanya ukuwe rich Wengi wanameza mate but utadu nini? Tippy toe, tippy toe, tippy toe club covid Ati mimi ndio Gwaash, toto nilikuwa nasnadi Nawachai kimangoto sio moto ni kipaji Kushika pesa jo mtoto hizo boss za wangati Bazu nikibanja wote wanakula moto Wanadigi mikono zangu zimejaa tu mangoto Toto wote wao wanajua mi mode fimbo mo, fimbo moto Geuka mami tupige makofi Geuka mami tupige makofi Geuka mami tupige makofi Geuka mami tupige makofi Tupige makofi Tupige makofi Tupige makofi [Mastar VK] Geuka mami nikupe chuma ya doshi Mtoto si amebeba kwela bigi na ni comfy softy very spongy Mi hukateka kwa keja naeka nyororo kwa konji Kurombosa zinatedi ndenda ju ni boucy Dancey baby si unishike ka ni sanse Naeza hepa wera ndo kapongi nikasosi We na baby nina chuma ya mdosi Ni wewe mi hudunga masindano ka za hosi Napiga misumari ju kumbao ju sikosi Gai gai gai gai naomoka na nibuy ndae Nipate niko high buda nikibuy ngwai Napenda nikiririma manze ka zimeniwai Walai heri niuze mayai kuliko jo nisote hadi nijitoe uhai We wewe ni afande weuweee Geuka mami tupige makofi Geuka mami tupige makofi Geuka mami tupige makofi Geuka mami tupige makofi Tupige makofi Tupige makofi Tupige makofi Usikuje na umbwakni Hapa zinamuokre sitambui bloody fuckn Nipate na geri ya mabandi walafi Mali fisa inafanyiwangwa scuffling Kila mtu pia ako meda ya shabz Baking powder ndani ya maji ya ugali Vile ni kudry utatokwa hadi round two Lawama baadae nikustep na mrazi Design nawateka Akuku Danger Tena tukisepa leo namfanya wrestler Ni paka inagrow makitesla Mechanic but leo nakufanyia titration Deep zile sections solar haijai step on Naeza potea na zae sidai direction Ushaiskia poems zile za man solo Eh niko yoghurt na gut, tuko youghurt na gut Geuka mami tupige makofi Stray music!
Similar Songs
More from Gwaash
Listen to Gwaash Makofi ft. K4Kanali MP3 song. Makofi ft. K4Kanali song from album Makofi is released in 2022. The duration of song is 00:03:37. The song is sung by Gwaash.
Related Tags: Makofi ft. K4Kanali, Makofi ft. K4Kanali song, Makofi ft. K4Kanali MP3 song, Makofi ft. K4Kanali MP3, download Makofi ft. K4Kanali song, Makofi ft. K4Kanali song, Makofi Makofi ft. K4Kanali song, Makofi ft. K4Kanali song by Gwaash, Makofi ft. K4Kanali song download, download Makofi ft. K4Kanali MP3 song