![Sisemi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/07/1e439ef88a52426e9368252562ca2cb9H802W802_464_464.jpg)
Sisemi Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2025
Lyrics
Aaaaaah aaaaaah aah aah
Uba kibo kibaba kibo (sisemi)
Uba kibo kibaba kibo (sisemi)
Uba kibo kibaba kibo( sisemi)
Uba kibo kibaba kibo
Hadithi nzuri ya mapenzi,
Rahazizi nimeandika moyoni
Habitii ii, weeh wangu usingizi
Nikusimulie maana Mwengine simuoni
Mmmh
Venye naogopa kuumizwa,
si umenituliza
Usinipunje ongeza
Ndo Nisha nogewa
Unavyonidekeza
Raha zapitiliza
Kama chipsi chombeza
Ata ukinipa sisemi (sisemi)
Aaah sisemi(sisemi)
Babey Nipe yote sisemi(sisemi)
Ooh
Aah sisemi (sisemi)
nisikufiche sisemi(sisemi)
Aah sisemi(sisemi)
Babey Nipe yote sisemi(sisemi
Aah(ah sisemi)
(Aaaah aaaaaah)
Aaaah Aaaah)
Kama sungura inatafuna kaloti,
Kitandani samasoti,
kishimo telezaa, oooooh
Na hiyo spidi karoboti, roboti
Kasarani mtu hatoki, hatoki
Nacheka ukinikonyeza( oooh)
Mmmh
Venye naogopa kuumizwa,
si umenituliza
Usinipunje ongeza
Ndo Nisha nogewa
Unavyonidekeza
Raha zapitiliza
Kama chipsi chombeza
Ata ukinipa sisemi (sisemi)
Aaah sisemi(sisemi)
Babey Nipe yote sisemi(sisemi)
Ooh
Aah sisemi (sisemi)
nisikufiche sisemi(sisemi)
Aah sisemi(sisemi)
Babey Nipe yote sisemi(sisemi
Aah(ah sisemi)
Aaaaah
Uba kibo kibaba kibo
Uba kibo kibaba kibo
Uba kibo kibaba kibo
Uba kibo kibaba kibo
Ata ukinipa sisemi (aah sisemi)
Babey Nipe yote sisemi (aah
Nisikufiche sisemi