High Maintenance Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Im a wifey material ,
figure tamu kama oreo
Always serving the position,
high maintenance babey
We ni mtoto mali safi barter trade ukinipea
Kula doo ukinipea kula doo ukinipea
Mtoto mali safi barter trade ukinipea kula doo ukinipea kula doo ukinipea
Siunajua mi ni highclass
Lazima ubend angles ndio ukatch up
Lazima unone nyuma
Ukini finance
Unatoa vya ndani sheke mbio mbaya hadi usukani
Siunajua mi ni highclass
Lazima ubend angles ndio ukatch up
Lazima unone nyuma
Ukini finance
Unatoa vya ndani sheke mbio mbaya hadi usukani
Si unajua mi ni highclass
Subscription on the daily
Gat my body moving crazy
Ukigusa monthly salary
Ukizidi pia upkeep ni bonus
Nails an make up check
Si lm the type you wanna spend me
All of dem cards on deck
Anasema he wanna lay me down down
Spin me round
Vile mimi hujidai no doubt now
Im the one you waant
Im a wifey material ,
figure tamu kama oreo
Always serving the position,
high maintenance babey
We ni mtoto mali safi barter trade ukinipea
Kula doo ukinipea kula doo ukinipea
Mtoto mali safi barter trade ukinipea kula doo ukinipea kula doo ukinipea
Siunajua mi ni highclass
Lazima ubend angles ndio ukatch up
Lazima unone nyuma
Ukini finance
Unatoa vya ndani sheke mbio mbaya hadi usukani
Siunajua mi ni highclass
Lazima ubend angles ndio ukatch up
Lazima unone nyuma
Ukini finance
Unatoa vya ndani sheke mbio mbaya hadi usukani
Si unajua mi ni highclass
Shika paka power chance ni moja nikiishika inapagawa
Maisha tisa na hii ya kwako ikue ya saba
Nduru highway na hi road si barabarabarabara
Gym kwa kitanda ndio kiuno izoze kudance
Sis mawagitho ndio kiuno ipige maduster
Ka amenonanonanonanonanona ovyo ovyo
Asiwai kuja matanga

Ukinifinance
Siunajua mi ni highclass