![Asali ft. Amini](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/22/35/rBEeqFuoyW-AcIHMAAChUfaIc3E362.jpg)
Asali ft. Amini Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Asali ft. Amini - Ruby Band
...
#ASALI YA KARNE.
Rubyband Ft Amini
Writing by @kingwise_k.b.o✍️
C9.1...
Nimeyatafuta sana...
Mapenzi haya yenye huruma...
Lakini moyo unaniuma...
Kuona wapo wanaomba tusage rhumba..Aah Ah
Baby wee unajua Eeh...Siku nyingi nilivyo kuhangaikia...Eeh
Pendo ninalo kugea Eeh...Usiridhihaki mwisho likaning’inia Eeh..
Na mafumbo ukanigawia wee, nikashuka chat,
Kama baya vumilia Eeh...ushinde moyo...
Nipe... Vingi vingi usinyime...
Turambe ni asali ya karne...X2
Oooh... Usiniache mwenzio Oh...
Oooh Utanipa mawazo...
Oooh... Usiniache mwenzio Oh...
Oooh Utanipa mawazo...Oooh...
Kama kuapa naapaga mema...Ubaya uwa nausogezaga nyuma...
Mapenzi ya chuki dhuruma nashindwa...
Sivyo alivyo agiza maulana...
Matendo yangu na roho yanafanana...Aah
Dunia si unaijua Eeeh.
Ukikosa kheri...Bora ukeshe na dua wewe...
Jicho langu la kulia, Limeona wengi ila limekuchagua wewe...
Mkono wangu wa kulia umekula vingi...Ila utamu umezidia Eeh...ushinde moyo...Ooh
Nipe... Vingi vingi usinyime...
Turambe ni asali ya karne...X2
Oooh... Usiniache mwenzio Oh...
Oooh Utanipa mawazo...
Oooh... Usiniache mwenzio Oh...
Oooh Utanipa mawazo...
Oooh...
Nataka wee ujue Eeh, Leo kesho nitakufa nawe...
Dunia itambue Ee...Kama sugu ni yangu mie...Ooh Baby...
(Spirit...)