![Sawa](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/7E/D7/rBEeMVtZaB-AULv2AABxbdgli4I232.jpg)
Sawa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Sawa - Ruby Band
...
(K-zoo music)
“K-zoo the finest”
“VERSE.1 (@c.minortz)
Mmh. Najitahidi na nafsi yangu nikupende ila roho inakataga.
Ubaya mwingi uliotenda kwangu ndani moyo imebaki majeraha.
Ingawa sio rahisi kujua siri ya mtu ya moyo maama..
Lako penzi thabiti mwilini mwangu ilikuwa..(Sto...ry) Aah...Aah
“BRIDGE”
Kisa kujua unapendwa kila siku hayaishi mabalaa...Beibe
Kibuli kingi unafanya lawama zako ndo me natunukiwa...
Kisa kujua unapendwa kila siku hayaishi mabalaa...Beibe.
Kibuli kingi unafanya...Aaah ah
#CHORUS”
Yani bora uende. ”SAWA.
Wee sio mali ya mnyonge ”SAWA.
Acha wengine wakupende ”SAWA.
Lakini tena sio kwangu mimi.
Uuuh Uende. “SAWA”
Wee sio mali ya mnyonge ”SAWA”
Acha wengine wakupende. “SAWA”
Lakini tena sio kwangu mimi..
Ooh Ah...Lakini tena sio kwangu mimi.X2
#VERSE.2 (@kweatz)
Ona umenitoa sadaka siamini..
Tena kungojea hukutaka ni kwanini..
Nahisi kama sikufai nafasi tena kwako sina..
Si rahisi ushanikinai...Onana.
Aah. Kila siku ni kero kero.
Na umeniona koro koro.
Si ukadhani me doro doro mama...
“BRIDGE”
Kisa kujua unapendwa ndo kila siku hayaishi mabalaa..
Kibuli kingi unafanya lawama zako ndo me natunukiwa..
Kisa kujua unapendwa ndo kila siku hayaishi mabalaa...Mama weee
Kibuli kingi unafanya lawama zako ndo me natukiwa...Aaah Aha Ahaaa wewe wee.
#CHORUS”
Yani bora uende. “SAWA” (Mmh...)
Wee sio mali ya mnyonge ”SAWA” (Sawa)
Acha wengine wakupende. ”SAWA” (Wakupende...)
Lakini tena sio kwangu mimi...(Kwangu mimi...)
Uuuh..Uende..”SAWA...(Aah)
Wee sio mali ya mnyonge..”SAWA..(Mali ya mnyonge..)
Acha wengine wakupende. ”SAWA” (Aaah)
Lakini tena sio kwangu mimi. “SAWA” (Kwangu mimi)
Ooh Aah Lakini tena sio kwangu (Kwangu mimi)
Oh Aah Lakini tena sio kwangu mimi (Kwangu mimi)
.....
Mmmh mmh mmh
wewe wewe weweee. Eeh ehh Aah Ah.
.
SONG..:SAWA
By(RubyBand) @kweatz X @c.minor
ProdBy. @k_zoo_the_finest.
Song writer... King_wise