
Tenda Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2025
Lyrics
Usiniache kando ya misitu
Wanyama waniwinda
Usiniache kando ya misitu
Wanyama waniwinda
O Baba tenda, tenda, tenda
Tenda nikuone
O Baba tenda, tenda, tenda
Tenda nikuone, Bwana
Tenda nikuone, Bwana
Usiniache kati ya bahari
Mawimbi yanisomba
Usiniache kati ya bahari
Mawimbi yanisomba
O Baba tenda, tenda, tenda
Tenda nikuone
O Baba tenda, tenda, tenda
Tenda nikuone, Bwana
Tenda nikuone, Bwana
Wewe ni mwanga na wokovu wangu
Ni nani nitakaye mwogopa
Wewe ni ngome ya maisha yangu
Sitamwogopa mtu yeyote
O Baba tenda, tenda, tenda
Tenda nikuone
O Baba tenda, tenda, tenda
Tenda nikuone, Bwana
Tenda nikuone, Bwana
Usiniache kwenye njia panda
Sijui niendeje
Usiniache kwenye njia panda
Sijui niendeje
O Baba nena, nena, nena
Nena nisikie
O Baba nena, nena, nena
Nena nisike, Bwana
Nena nisike, Bwana
Wewe ni mwanga na wokovu wangu
Ni nani nitakaye mwogopa
Wewe ni ngome ya maisha yangu
Sitamwogopa mtu yeyote
O Baba nena, nena, nena
Nena nisikie
O Baba nena, nena, nena
Nena nisike, Bwana
Nena nisike, Bwana