
Psalms 121 Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2025
Lyrics
Nitainua macho yangu
Nitazame milimani
Msaada wangu watoka wapi
Msaada wangu u katika Bwana
Nitainua macho yangu
Nitazame milimani
Msaada wangu watoka wapi
Msaada wangu u katika Bwana
Aliyezifanya mbingu na nchi
Asiuache mguu wako uteleze
Akulindaye hasinzii
Mlinzi wa Israeli hasinzii, halali
Nitainua macho yangu
Nitazame milimani
Msaada wangu watoka wapi
Msaada wangu u katika Bwana
Bwana ni mlinzi
Na uvuli wako
Uvuli wako ulio mkono wa kuume
Wala jua halitakudhuru mchana
Wala mwezi wakati wa kiza
Nitainua macho yangu
Nitazame milimani
Msaada wangu watoka wapi
Msaada wangu u katika Bwana
Bwana atakulinda na mabaya yote
Atailinda nafsi yako
Bwana atakulinda
Utokapo na ujapo
Tangu sasa na milele
Nitainua macho yangu
Nitazame milimani
Msaada wangu watoka wapi
Msaada wangu u katika Bwana
Msaada wangu watoka wapi
Msaada wangu u katika Bwana