
Liwe Liwalo (Remix) ft. Sanaipei Tande Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2025
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Liwe Liwalo (Remix) ft. Sanaipei Tande - V-BE
...
mmmmh mmmmmmh mmmmh
Alikuwa in the room
pande zote natazama
maneno ni matatu tu
I deserve these
umenipenda bila sababu
ukanipa sababu ya kupenda,
How to pure your (?)
Heavens gift to me
My father anasema a man is a good edition
Your mother ndio apate wajukuu ni lazima tusivunje mwiko. Ooooo
Liwe Liwalo ntakuoa kwa amani bilaa mvurugano we protect our family my beloved
Liwe Liwalo ntakuoa kwa amani bilaaa mvurugano we protect our family.
Liwalo na liwe liwe
Liwalo na liwe liwe liwe
Liwalo na liwe
Liwalo na liwe
Liwalo na liwe liwe
Liwalo na liwe liwe liwe
Liwalo na liwe
Liwalo na liwe
...( Instruments playing)
Speak now forever hold your peace
imechukuliwa serious.
Harusi tumechukulia loan but clearly they still don't pity us.
Ati mahari imechunwa mahali kwani fahali walifika sio fifty plus, hio ni issue tunaeza solve our love can speak for us.
One father anasema ni lazima tufuate traditions (traditions). Another father anasema hio ni dhambi juu Mungu alimwonyesha vision ilaaaa
Liwe Liwalo ntakuoa kwa amani bila mvurugano we protect our family my beloved
Liwe Liwalo ntakuoa kwa amani bila mvurugano we protect our family
Liwalo na liwe liwe
Liwalo na liwe liwe liwe
Liwalo na liwe
Liwalo na liwe
Liwalo na liwe liwe
Liwalo na liwe liwe liwe
Liwalo na liwe
Liwalo na liwe
Yah
Tusijichokeshe mabega kila mtu akona buggage
Kiti ya therapist ni place poa ya kuzidumb
Gas ikiisha time mfuko ikona damage, ugali na maji pia ni food atuwezi serve.
Ukituma wrong text kudelete sio lazima, hakuna moto inaweza washwa mapenzi ishindwe kuzima.
Nikifa God forbid huwezi nyimwa title deed, another family haitatokea best believe.
Vyombo ukiosha mintarinse niku help kuosha jeans, setting a good example for the kids.
Wazazi pia ni lovers let them kiss nionyeshe your expertise self employed na kazi nikukuplease.
Watu wenyu ni wetu na wetu ni wenyu pia.
Tuendele kucommunicate tukiona wanaintafia, geografia ikiingilia nikose kuwania bado nina Nia ya kukuwania (?)