![Fungua Mbingu II](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/85/4C/rBEeMVuhGmWAPnGxAABYFTA5cQs195.jpg)
Fungua Mbingu II Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Fungua Mbingu II - Emma (KE)
...
instrumental
Oooooh yeeeeeah
Naomba nitembee chini ya mbingu iliyofunguka
Naomba ni hudumu chini ya uwepo uloshuka
Naomba mkono wako usitoke kichwani mwangu uzito wako thamana kuu kwangu *2
chorus
fungua mbingu (fungua) majibu yapatikane (fungua)
fungua mbingu uuu (Oooooh,fungua) fungua mbingu (panguza machozi) majibu yapatikane (utajibu Maombi)
Oooooh Oooooh fungua mbingu ( fungua mbingu )majibu yapatikane (fungua ujibu Maombi)
tazama mambo machungu yananigonga moyo
tazama mambo mazito yananipiga moyo
nimkimbiliaye amejeruhiwa
nimwombaye amepungukiwa
nimwiitaye. ameshushika
ni wewe tu jibu langu *2
uliye na funguo fungua Milango yangu
uliye na Sikio sikia maombi yangu
nifungulie eee kwa huruma zako ooo
kiachiliwe eee kilicho changu uuu
yakuguse ee machozi yangu uuu
nifunguliee eeeeeeh eeh
chorus
fungua mbingu tunakungoja
panguza machozi
oo9oooh oooh