![Nachotaka](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/23/65/rBEeM1uhGwmAYHN-AADAVlNTPDY199.jpg)
Nachotaka Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Nachotaka - Emma (KE)
...
y3eeeh yeeeeh yeeeeeeh ooooh
mmmmmmmh
nachotaka niwee ni wewe tu *2
haja ya moyo wangu yesu uuu*2
Kama iyala atafutavyo maji zaidi ya udongo mkavu uonavyo kiu Kwa tone la maji ilivyo isiposema nawe ilivyo moyo wangu nisipo shiriki nawe
Kama samaki nje ya bahari Sina uhai nje ya hema yako
Nataka ni Zame,ni zame*2 Kwa pendo lako kuu *2
nakuhitaji yesu eeeh ooooh
nakuhitaji yeeeeeeeeee ooooh
chorus
nachotaka niwe ni wewe tu*2
haja ya moyo wangu yesu uu*2
Nataka nikujuwe zaidi ya fahamu zangu
naona nikuinuwe zaidi ya Hitaji langu
niloweshe Kwa roho nikujuwe ,sura yako hung'ae usoni mwangu
Nataka nikutumikie kwa nguvu Mpya kisichowezekana ni wezesheee, napopungukiwa ni neemeshe nakuhitaji yesu oooooh
chorus