![Nilinde](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/85/0A/rBEeMVudMX2AU9RPAADavIpYvmM871.jpg)
Nilinde Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Nilinde - Makena (KE)
...
Nilinde nilinde nilinde
Mara ni kadhaa nilisikiza uongo wa adui
Hanitakii mema huyo ooo oo
Nimefunga masikio yangu kwa uongo ooo
Ni ukweli natafuta
Mara ni kadhaa adui ananiandama
Ombi langu Baba ni unilinde
Nilinde nilinde nilnde
Kutokana na maovu
Nilinde nilinde nilinde
Kutokana na mtego
uoo uoo unilinde Baba
Baba Baba Baba una nguvu kushinda yule mwovu
Mimi mwana wako naomba unifunike
Uvulini mwa mabawa yako unifiche unifiche
Mara ni kadhaa adui ananiandama
Ombi langu baba ni
Baba nilinde
Nilinde kutokana na mtego
Nilinde nilinde kutokana na maouvu
Nilinde nilinde kutokana na mtego
Nilinde Baba, Nilinde Baba
Nilinde, nilinde, nilinde
Nilinde kutokana na maovu
Nilinde, nilinde, nilinde
Kutokana na mtego
Nilinde nilinde
Nilinde kutokana na mtego
Mara ni kadhaa nilisikiza uongo wa adui
Hanitakii mema huyo
Nimefunga masikio yangu kwa uongo
Ni ukweli natafuta
Nilinde, nilinde eeei eeei