Najua Hutaniacha Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Najua Hutaniacha - Makena (KE)
...
na na na n ana na
nilikua natafuta rafikii..
atakaye kua wa kudumu...
nilikua nimekosa tumainii...
kwani binadamu hubadilika kama kinyonga
tangu nikupate yesu sitafuti tena
upendo wako unanipa nguvu
nikiwa nawe yesu nitaogopa nani
nitaogopa nini?
najua hutaniacha pawe na shida pasiwe
wewe ni mwaminifu milele
najua hutaniacha pawe na shida pasiwe
wewe ni mwaminifu milele
milele milele milele.......
tena nikapata, marafiki kadhaa
punde shida ilipoingia nao waliondoka
nikaliiiia....mpaka nilipokumbuka
kuwa kuna rafiki asiyebadilika
tangu nikupate yesu
sitafuti tena
upendo wako unanipa nguvu
nikiwa nawe yesu nitaogopa nano
nitaogopa nini?
najua hutaniacha pawe na shida pasiwe
wewe ni nwaminifu milele
najua hutaniacha pawe na shida pasiwe wewe ni mwaminifu milele
najua hutaniacha pawe na shida pasiwe wewe ni mmwaminifu milele milele...