TRAVELLER Lyrics
- Genre:Electronic
- Year of Release:2024
Lyrics
Kama unajiskia kukatama
Zidi kupigana endelea kuota
Ipo siku utakuja kuamka ndotoni
Futa chozi usilie siku ni moja
Ikifika utasahau yote yaliopita
Aint anada man ni esir mwenye anaonge kwenye beat
Maisha yangu siezi feli mi ni traveller
Kila mara niko juu mi ni juggler
Niko kwenye journey unaeza niita traveller
Niko katikati ya safari call me traveller
Maisha yangu siezi feli mi ni traveller
Kila mara niko juu mi ni juggler
Niko kwenye journey unaeza niita traveller
Niko katikati ya safari call me traveller
Alipenda sana kuniona chinib4 hata kuzaliwa alitaka kuniona down
Maisha yangu singefanikiwa kama sio mama kunipagania zaidi ya yule pimbi
Mdogo mdogo ndio naanza kutembea utajiri unafanya anataka kunieka kiti
Miba nyingi nimevuka kimaajabu
Vita ninapigwa wala si yakufunzwa adabu
Maisha yangu siezi feli mi ni traveller
Kila mara niko juu mi ni juggler
Niko kwenye journey unaeza niita traveller
Niko katikati ya safari niite traveller
Maisha yangu siezi feli mi ni traveller
Kila mara niko juu mi ni juggler
Niko kwenye journey unaeza niita traveller
Niko katikati ya safari call me traveller
Waliochangia mimi kupitia nawazika nimeshika mwiko makaburi yenu nyote nachimba
Ni mbali nimetoka bado sijafika kwenye ninaenda far naona mashindano nimeshashinda
Msafiri kwa safari nishawai lala njaa
Mtabiri katabiri kaona shida baa
Iwapo hujiamini jiamini kaza kamba ipo siku yote haya yatakuja kuishaa
Maisha yako yalikwisha bado yangu unataka kuyadidimiza shida yako gani
Ulifeli ukafoli nangangana yangu nione kama nitakuja kuokota