![Kifaa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/09/a5bd74c91744491f8a532e5dbba02424H3000W3000_464_464.jpg)
Kifaa Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2025
Lyrics
It's lioo
Huku sio kushikwa, ni kukamatika
Wala sio kufika, ni kupitiliza
Yani zaidi ya picha, hii ni video
Nishapigwa lock, kaifunga komeo
Baby
Ye ndo mamy looooh
Anajua kunipenda aah
Ye ndo mamy looooh
Anajua kunipenda Aah
Mungu baba kanipa huyu kifaa
Anipende anipe hizo furaha we
Mungu baba kanipa huyu kifaa
Anipende anipe hizo furaha we
Chintu kuzipa eeh, chintu kunona nona
Sa ndo navimba wazee
Chintu kuzipa eeh, chintu kunona nona
Sa ndo navimba wazee
Na ukiniona nimenuna basi jua
Umenifananisha sio mimi
Na ukiniona nimenuna basi jua
Umenifananisha sio mimi
Kwa maana
Meno thelathini Na nje yote mbili
Anavo ifurahishaga yangu akili
Meno thelathini na nje yote mbili
Anavo nifurahishaga
Mungu baba kanipa huyu kifaa
Anipende anipe hizo furaha we
Mungu baba kanipa huyu kifaa
Anipende anipe hizo furaha we
Chintu kuzipa eeh, chintu kunona nona
Sa ndo navimba wazee
Chintu kuzipa eeh, chintu kunona nona
Sa ndo navimba wazee
Cukie kaangiza