![Nakusubiri](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/11/7efe9e688416415b9c727aa8f4fa15cb_464_464.jpg)
Nakusubiri Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Hivi kwani ile namba
Uliyo nipa ulikosea aah
Nimepiga kapokea Boda boda
Kauliza wapi unakwenda
Hivi kwani ile namba
Uliyo nipa ulikosea aah
Mbona kama kapokea Bibi chobo
Kauliza vipi umeshinda
Nipo njiani naenda pale nilipo kuona
Nipo jirani nasubiri upite tena we
Naona ka ushanifanya chizi we
Kila saa kutwa nakuwaza we
Naona ka ushanifanya chizi
Na nashindwa hata kulala
Mi nakungoja nakusubiria we
Nakungoja bibie nakusubiria we
Nakungoja nakusubiria we
Nakungoja bibie eeh nakusubiria we
Aay yah yah aay yah yah eeh
Yah yah yah eeh
Tena wala usije niona kama vile nimedata
Eeh yah eeeh Nimeoza mwenzako yani zaidi
Ya kuchacha eeh yah eeeh ah
Kale kamwendo kama chini haukanyagi
Na ulivo cheka ndo kichwani havitoki
Boda nshazima fanya njo upige kiki
Rabeka itika
Baby wherever you're,
Know you yot my mind as a prank
I don see nobody
Just falling i'm falling to your love
Mi Nakungoja nakusubiria we
Nakungoja bibie nakusubiria we
Nakungoja nakusubiria we
Nakungoja bibie eeh nakusubiria we