Nywele Huna ft. Nassor Hussein Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2025
Lyrics
Nywele Huna ft. Nassor Hussein - Offside Trick
...
Offside trick na nassor Hussein bahwa bahwa
Nywele nywele huna we dada
Shanuo la nini
Nyweele nywele huna we dada
Shanuo la nini
zimesokota na kinyoyoki we dada
Shanuo la nini
Wigi lako kama helmeti we dada
Shanuo la nini
Nywele nywele huna we dada
kinyoyoke pia na kipilipili we dada
Shanuo la nini
Wanakutimua saluni we dada
shanuo la nini
Chefu
Wajifanya waringa nini waringa nini wewe
Ni vituko vya Mr Bean wee Mr Bean wee
Una nini hapa mjini hapa mjini wee
Tushachoshwa na movie Zako za mwaka 90 wewe
Eti nawe watamba insta watamba insta
Tunaokujua watufurahisha
Watufurahisha
Huezi kuposti bila ya filter
Bila ya filter
Tukikuvua wigi tutakuhadhihirisha dada
Nywele nywele huna we dada
Shanuo la nini
Nywele nywele huna we dada
Shanuo la nini
Zimesokota na kinyoyoki we dada
Shanuo la nini
Wigi lako kama helmeti we dada
Shanuo la nini
Nywele nywele huna we dada
Shanuo la nini
Kinyoyoke pia kipilipili we dada
Shanuo la nini
Wanakutimua saluni we dada
Shanuo la nini
kwanza Tushakujua unaposti na vigodoro sio lako Hilo
Eti watudanganya na video ukitingisha wowowo
hahahahaaaaaaaa gajiji kajirambua imeisha hio
tataaaaaa
Tena unavimba na Hilo wigi sio lako Hilo
Si una deni saluni waregesheeee
hahahhhaaaaaaa golo kujitia kwenye kundi la waarabu kama huna huna tu
tataaaaaa byeeeee
Eti nawe watamba insta
watamba insta
Tunaokujua watufurahisha
Watufurahisha
Huezi kuposti bila ya filter
Bila ya filter
Tukikuvua wigi tutakuhadhihirisha
dadaaa
Nywele nywele huna we dada
Shanuo la nini
Nyweele nywele huna we dada
Shanuo la nini
Zimesokota na kinyoyoki we dada
Shanuo la nini
Wigi lako kama helmeti we dada
Shanuo la nini
Nyweele nywele huna we dada
Shanuo la nini
kinyoyoke pia kipilipili we dada
Shanuo la nini
Wanakutimua saluni we dada
Shanuo la nini
Aaaaah haya sasa
Wenye nywele zao
Tunawataka katikatiiii
Tunataka kuona mashahar
Tikisaaaa
Tikisa shahar
Tikisa dadaaa
Tikisa shahar
Tikisa Tikisa Tikisa
Tikisa shahar
Tikisa dada
Tikisa shahar
Hebu Leo waoneshe
Nywele za kwako mwenyewe
Tikisa shahar
Wala sio za Aristote
Tikisa shahar
aaaaa Tikisa shahar
Tikisa shahar
Wenye nywele za milioni mikono juuuu
Wale wenzangu na Mimi
Turudi nyuma
Leo wenye nywele zao
Ndio wanaonguruma
aaa dada Wema unaringa nini nywele huna
Shanuo la nini
Na uwoya unasema nini nywele huna
shanuo la nini
mubeto wigi linakupendeza nywele huna
shanuo la nini
Kipara Wolper kinakuvutia nywele huna
Shanuo la nini
haahaaaaaaaaaaaa beeeeee hamna kituuuuuuu