Katika ft. Diamond Platnumz Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Yeeeyee nooo noo
Katika katikaaeee katika katikaaeee katika katikaaeee
Nina midadi kayalumba(weee)
Kibao kata ukinyonga(ooonaaa),
Mfukoni namavumba (weee)
Rungu ndichi linasunta eeeeh,
Yani bo bo bo o o
Kana nikoshaga roh o o o
Yani nasimama dee de de de
Kakitingisha wowo wo wo o
Baby gal dance for me one time (Secretoo)
Miuno feni kunata (Secretoo)
Tena jifunge na ngata (Secretoo)
Zile za kibaooo kataa (Secretoo)
Baby gal dance for me one time (Secretoo)
Miuno feni kunata (Secretoo)
Tena jifunge na ngata (Secretoo)
Laalaalaalaalaaaaaeh
Katika katikaaeee katika katikaaeee katika katikaaeee katikaaeee
Katika katikaaeee katika katikaaeee katika katikaaeee
Yani katoto kandii, kako ndindindii...
Kamekazika yani ngingingii.
Nyuma mbwii! kako mbwimbwimbwii...
Kana misifa shangingingii
Nilikavizia kitamboo
(aaaee)
Leo kamenasa chamboo (aaaee)
Ntakapakia na mgandoo (aaaee)
Nikajegeje ka Ramboo
(aaaee)
Buuumbaaaiii
Kana michezo ya ngomani sindimba lizombee.....
Nami nampatia za pwani Muhogo wa jang'ombee.
Yani ee e e e
Kana nikoshaga roh o o o...
Huwaga nasimama de de de de...
Kakitingisha wowo wo wo o..
Ooh yaaa oooh nabembea...
Yani siwezi kutembea...
Nchecheme na chechemea yani hadi
nalegea aki
Katika katikaaeee katika katikaaeee katika katikaaeee katikaaeee
Katika katikaaeee katika katikaaeee katika katikaaeee
Maumivu naugulia mwiba ukizama nahisi mateso,
Utamu na ng'ang'ania ndizi kwa nyama napata mchecheto.
Nakuna nazi kwa mkongojo
(aaaee)
Naunga mchuzi wa sotojo
(aaaee)
Uno la rosti rojorojo
(aaaee)
Mikunjo fulani Wabogojo
(aaaee)
Kibao kata tenteme teteme Kilingeni kuzama uchutame,
Huwezipata wee mpaka usimamee haichagui mwembamba mnenee.
Nikalaze kwa bedi kitanda ee (Kwa ghettooo)
Nikachezeshe Samba ee (Loketooo)
Na kalivyo na bodi kinanda ee (Sepetu ooo)
Tunguli zimenibamba ee (Mobettooo)
Maaamaa
Katika katikaaeee katika katikaaeee katika katikaaeee katikaaeee
Katika katikaaeee katika katikaaeee katika katikaaeee
--- www.LRCgenerator.com ---