![Talaka](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/30/21f012adf4b24ff489cf90e478414461H3000W3000_464_464.jpg)
Talaka Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2025
Lyrics
Hello
Habari gani baby
I like to get to know you
Uliipa namba juzi
Kona ya Aggrey na Sikukuu
Nimekupenda sana mama
Samahani kama usumbufu
Umenichanganya sana
Mi bachela uwe wangu
Pretty girl
Huyo ni pepo mkemee
Wewe nyumbani una mke e e
Talaka haigongi hodi
Yanini upotee
Ni wiggle wiggle bwana
Wiggle hakuna la msingi
Ni hilo wiggle wiggle bwana
Mtego umegeuka umeingia kingi
Yeah talaka haigongi hodi
Lakini ukumbuke wewe
Kwamba talaka haigongi hodi
Unapoanza huko kudanga ukumbuke
Watoto wako
Eeh
Nasema ukumbuke
Malaya mwisho wake ya ngono maradhi
Ukiachwa ukumbuke
Yote ni sababu ya wako ushenzi
Pretty girl
Huyo ni pepo mkemee
Wewe nyumbani una mke e e
Talaka haigongi hodi
Yanini upotee
Ni wiggle wiggle bwana
Wiggle hakuna la msingi
Ni hilo wiggle wiggle bwana
Mtego umegeuka umeingia kingi
Ingia kingi kingi kingi
Huyo si pretty girl
Bali shetani yupo kazini ukumbuke
Huyo si pretty girl
Bali talaka inakuja bila hodi
Yanini upotee
Ni wiggle wiggle bwana
Wiggle hakuna la msingi
Wataka wavunja ndoa sasa
Umalaya wako kisa
Huo upuuzi