![Sema](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/09/59db5dcc2f3642a0aacf2d826d1b691c_464_464.jpg)
Sema Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Kama unaona si sahihi
Sema si nami nitatii
But i know shida sio mi
Kuna lako jambo huniambii
Kwani bado nima enemies
You holding on holding endlessly
But hear me kwanza
Vituko vitimbi havisaidii
Nitajuaje sioti mpaka uniambie
Umenichoka usipretend ya kwamba siumii
Na kama penzi limeshaisha
Hate a little more of me
Kama kuna kosa nimefanya baba sema
Kipi upatacho kwakwe kwangu hujakiona
I'm drowning in your love in your water
In your love in your water
Kina chako nikirefu mi nazama
Kama kosa nimefanya uniambie
So i know
Kuliko hivyo vinyago univalie
Because im drowning in your love
In your water
I need your love ohh
Come on hear my pain
Vituko vituko kama siumii
Kwa nini husemi why
Ni vituko vituko kama siumii
Kama huko kwake ndo unaenda uniambie
Si vituko kama siumii
Kama unamfata useme nivumilie
Vituko hivii
Nitajuaje sioti mpaka uniambie
Umenichoka usipretend ya kwamba siumii
Na kama penzi limeshaisha
Hate a little more of me
Kama kuna kosa nimefanya baba sema
Kipi upatacho kwakwe kwangu hujakiona
I'm drowning in your love in your water
In your love in your water
Kina chako nikirefu mi nazama
Kama kosa nimefanya uniambie
So i know
Kuliko hivyo vinyago univalie
Because im drowning in your love
In your water
I need your love ohh