![Kanipukutisha (Asambe)](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/19/259b8eb17d1344b4993a0687aeb6535fH3000W3000_464_464.jpg)
Kanipukutisha (Asambe) Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Ooohh
Ooohh
Mmh
Ooohh Plus Huyooo
Mmmh Aiiii
Sj Baby
Mmmhh
Ah
Nilikutana nae
Toto Zuri zuri
Nikaondoka nae
Hadi asubuhi bui
Asambe Yooh
Asambee
Simu yangu siioni
Oya Plus
Tambo langu silioni
Asambee Yooh
Asambee
Pochi langu silioni
Mdaigoo
Lighter yangu siioni
Iiiiihhh
Kanipukutisha
Kanipukutisha
Oya Prof
Kanipukutisha
Kanipukutisha
Sioni mkanda na Airforce
Kanipukutisha
Sioni Jeans sioni shati
Kanipukutisha
Kanipukutisha
Kanipukutisha
Oya oya
Kanipukutisha
Kanipukutisha
Sioni mkanda sioni raba
Kanipukutisha
Sioni Jeans sioni shati
Kanipukutisha
Kinachoumiza kinyama
Hata mchezo sikupiga
Nilizima
Alinichanganyia vileo
Mtoto mweupe mweupe
Kaleta usela
Ana vibleach
Afu alivaa Dela
Ah Ah
Asambe Yooh
Asambeee
Tambo langu silioni
Asambe Yooh
Asambee
Pochi langu silioni
Namsaka msaka msaka
Nikimwona
Namsaka msaka msaka
Asambee
Asambee
Simu yangu siioni
Oya Plus
Tambo langu silioni
Lighter yangu siioni
Iiiihhh
Asambe Yooh
Asambeee