Sukuma Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Aaahh iya iya
Sj baby
Aaahh iya iya
Sura ya kupost na mwendo wa mtoko ooh mtoko
Kadigi digi katoto kadogo kadogo dogo
Baby Usiende Mbali we baki na mie
Jinsi Unanijali Umenifanya Nitulie
Wapo wanaotaka unikatae
Wapo wanasema niachane nawe
I swear I love you I no go lie
Mitano tena hadi nizikwe nawe
Ukiwasikiza
Utapotea
Utanipoteza
Tutapoteana
Aaaaahhh aaaaahhh
Sukuma sukuma sukuma
Sukuma damu ya moyo wangu
Sukuma sukuma sukuma
Me siwezi pekee yangu
Sukuma sukuma sukuma
Sukuma damu yangu ya moyo wangu uuhh
Aaahh eh sukuma
Ooh baby I love your body
This love never discard
No comment No like
No Judging
Aaahh
Kadata na me beibe ( beibe )
Mimi baby ( beibe)
Mwenzenu kanipenda me baby (beibe)
Mimi beibe
Penzi lake paradiso
Me na yeye mpaka kifo
Kila alipo nami nipo
Kama Korosho na Bibo
Ukiwasikiza
Utapotea
Utanipoteza
Tutapoteana
Aaaahh aaaahh aah
Sukuma Sukuma Sukuma
Sukuma Damu ya moyo wangu
Sukuma sukuma sukuma
Me siwezi peke yangu
Sukuma sukuma sukuma
Damu ya moyo wangu
Aaah eh sukuma
Jaman mmemuona kungwi kampeleka mke wangu disco vumbi?
Amerudi tungi jingi kitandani anafanya tu vitimbwi
Ile kumshika tu kasaula (Saula)
Ghafla kabeua (Beua)
Nataka nimshike tu kacheua (Cheua)
Jama kacheua