![Pokea Sifa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/16/ec5af34a0ebb43f984a17f83280bdd75H3000W3000_464_464.jpg)
Pokea Sifa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Kitausi natembea nikiringa
Manake ninajua weh wanikinga
Waniangazia kwenye giza
Sitaogopa wanilinda
Kama mboni yako mi ni wako
Nguvu zangu zote toka kwako
Mamlaka yote Baba ni yako
Milele na milele eeh
Kitausi natembea nikiringa
Manake ninajua weh wanikinga
Waniangazia kwenye giza
Sitaogopa wanilinda
Pokea sifa Baba
Wastahili
Nipitapo bonde la mauti wewe uko nami
We wanifariji
I know that you're for me
Always on time wewe huchelewi
I can always count on you
You don't give me what I want
But you give me what I need
In the fire you're the fourth man
Nawe Baba ni salama
Pokea sifa Baba
Wastahili