![YOU](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/18/82fd798b24f54d6c8aef88cf1a055d79H3000W3000_464_464.jpg)
YOU Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2022
Lyrics
You (You)
You left without a goodbye
You (You)
My heart bleeds for you
Liondoka mapema bila kwaheri
Natumai ulipo u buheri
Roho yangu yaumia
Nafsi yangu imechoka
Wingu la majonzi limetanda
Machozi yangu yatiririka
Kila ninapowaza
Mbona sasa hivi
Ulijipenda Sana
Katuacha mapema
Ukijua thahiri
Hakuna yule atakaye jaza pengo uliloliacha
Ulienda
Bila kusema
Kinachouma
Hutarudi
Muda umeyoyoma
Nimekumisi sana
Pata najiuliza
Bado ungekuwepo mambo yangekuwa vipi