My Everything Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2025
Lyrics
Nilifumba Macho Usiku Mchana
Nikimuomba Maulana
Akuepushe Na Zahama Zadunia
Ewalah
Sikua Napesa Mali Enzi Zile
Ningekupa Nini Labda
Nivile Nakupenda Sana
Eeeeeh
Mhh My Number One
My Number Mbili
My Namba Tatu
Nakupenda Niwewe
My Namba Moja
My Namba Mbili
My Namba Tatu
Nakupenda Niwewe
You My Everything x 3
Wahenga Waliseema
Kawia Ufike Salama
Kheri kufa macho
Kukiko kufa Moyo wangu
Kwanini Nitange Tange
Kwenye Hii Dunia
Kwenye Page Nigeuke MANGE
Nirande Na Dunia
Olaaah Vimba Basi Utambe
Ushangaze na Dunia
Wenye wivu wajinyonge
Onaaah
My Namba Moja
My Namba Mbili
My Namba Tatu
Nakupenda Niwewe
You My Everything x 3