NICHUMU (feat. Aslay) Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
NICHUMU (feat. Aslay) - Robytone
...
Aaah...!!
oooh...!!
Alienipa Maulana Niwewe...!!
Nikupende Nikuheshimu...!!
kaninyima Vingine Nisipewe..!!
Ningepatwa Na Wazimu..!!
Alikuumba Na Shepu Masha Allah...!!
Nikikuona Naona Raha...!!
Uzuri Wa Mama Ulirithi..!!
Vingine Ndio Balaa...!!
Labda Nimseme Pengine Nitaje Na Jina..!!
Ila Nahisi Mtahisi Nakosa Heshima..!!
Labda Nimpost Pengine Ni Tag Na Jina..!!
Ila Nahisi Wengingine Mtazama Mazima..!!
Mwenzenu Naumwa Uchizi..!!
kwake Sinaga Ubishi
Nala Kinyama Cha Urithi Akinipa Napagawa
Namsifu Nifundi WA Mapishi..!!
Mitamu Yake Misosi..!!
Masha Allah Naona Raha...!!
Basi Nichumu Nikiss Mwaah..!!
Nikiss Mwaah
Unaning'arisha Cheki Ninavyo Ng'aa
Cheki Ninavyo Ng'aa
Nasomeshwa Nimepata Mwalimu
Ananipa Darasa La Penzi Tamu
Akiniacha Tapata Wazimu
Kama Kufa Basi Nitakufa Kwa Sumu
Jambo Ndoa Nikitu Muhimu
Simuachi Nitamwaga Hata Damu
Penzi Lake Tunu Ya Kudumu
Kanitunuku Moyo Umepata Stalaaah
Penzi Lake Lipo Ngangali
Ngangali Sana
Nafurahi Na Huyu Kimwari
Sisi Tunapendana
Lishaaga waka Hili Gari
No Kusimama
Wanaotaka Sisi Tufeli..!!
Watasubiri Sana...!!