Mon Amor ft. Mbosso Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Mon Amor ft. Mbosso - Rayvanny
...
mmmm
mmmm
mmmmm
sanaaaaaaaaaa
mungu ame nipa chenye thamani
anawaka kama mbala mwezi gizaniiiii
kama maji jangwani
sijasahau
utamu ,utamu anaonipa
chumbani
mm nikipendwa na yeye tuuuuu
nimeridhiiiiiika
nimetosheeeeeeeekaaaaa
nikipendwa na yeye tuuuu
nimeridhiiiiiika, ninetoshekaaaaaaa