Ni Mungu ft. Mwamposa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Ni Mungu - Rayvanny
...
Mindo yule walosema sitofika popote
Ila Mungu akakataa
Mindo yule walonidharau ntakufa kapuku
Nimepata wanashangaa
Mindo yule kipenz cha Mungu
Wakinichafua ndo kwanza nyota inang'aa
Mindo yule dhahabu kwa majivu sasa ukijichanganya
Usije dhani ni mkaaa
Mmhh, huuuuuuuh uuh
Huuuuuh uuh, huuuuh uuh
Mungu ananipenda sana
Huuuuuh uuh, huuuuh uuh
Huuuuuh uuuh, huuuuuh
Mungu ananipenda sana
Umeona kagari, huyo ni Mungu
Umeona na nyumba, huyo ni Mungu
Ukiona nnaringa, ujue ni Mungu
Afya tele ninayo, huyo ni Mungu
Do you see my car, oooh baba blessings
Do you see my house, ooh baba blessings
Do you see my family, oooh baba blessings
Afya tele tunayo, ooooh baba blessings
Mindo yule ambae sikuaminika na yeyote
Nikateseka kwa mitaaa
Mindo yule walonisahau nakuniita msumbufu
Nikatengwa na ndugu na jamaaa
Mindo yulee kipenzi cha Mungu
Kila wakiziba njia ninapita nashangaa
Mindo yule dhahabu kwa majivu
Sasa ukijichanganya usije dhani ni mkaaa
Eeh Mungu weeeuweeh unaweza kumpa ata walie mbagua
Ukinipa weeeuweeh atawakipinga ukitaka inakua
Umeona mashamba, huyo ni Mungu
Umeona mifugo, huyo ni Mungu
Ona biashara zinasonga, ujue ni Mungu
Mafanikio yote, huyo ni Mungu
Do you see my car, ooh baba blessings
Do you see my house, ooh baba blessings
Do you see my family, ooh baba blessings
Afya tele tunayo, ooh baba blessings
......
MWAMPOSA
Kataa kutiwa hofu na watu
Jambo lolote lisikutishie ww
Sema level yako ibadilike
Naili level yako ibadilike, number one
Lazma uwe na imani
Lamza anza kuamini, acha kusikitika
Acha kulia, acha kuuzunika, acha kukaaa chini
Anza kuinuka, nakuamini
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
RAYVANNY
Umeona kagari, huyo ni Mungu
Umeona na nyumba, huyo ni Mungu
Ukiona nnaringa, ujue ni Mungu
Afya tele ninayo, huyo ni Mungu