Slow ft. Jay Melody Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Slow ft. Jay Melody - Rayvanny
...
INTRO.....
Hivi hujioni baby, ulivyoumbika na unavyoita
hujioni Baby
yani hata bila filter unavyomulika
hujioni baby
au ndo hupendi sifa za kujivimbisha
hujioni baby
vile umekamilika
mama unanipa sukari
nimekubali
utamu
kama asali
mama unanipa sukari
nimekubali
utamu
ni wa hatari
jamani huyo ndio baby (mnamuonaje)
shemeji yenu (mnamuonaje)
mwenzenu ndo nimefika hapo(mnamuonaje)
shemeji yenu (mnamuonaje)
si nimejua kuchagua (mnamuonaje)
semeni kweli (mnamuonaje)
jamani huyo ndo wangu (mnamuonaje)
baby (mnamuonaje
INSTRUMENTAL..... (1:24-1:57)
upendo wako ndo unanonipa wivu mpaka naogopa
hivyo basi sitaki maumivu mi nishachoka
akili zangu ni kama maji jikoni yanatokota
punguza kasi njoo taratibu utanikokota
jamani
mimi umeniweza
moyoni nlivyokubeba
ngumu hata kujieleza
sidhani
kama peke yangu naweza
kwa jinsi ulivyonikoleza
sihitaji hata chuzi la pweza
jamani huyo ndio baby (mnamuonaje)
ai shemeji yenu (mnamuonaje)
nimejua kuchagua (mnamuonaje)
anang'ara huyo(mnamuonaje)
jamani huyo ndo baby (mnamuonaje)
baby haki ya mimi (mnamuonaje)
nimejua kuchagua (mnamuonaje)
anapendeza (mnamuonaje)
INSTRUMENTAL.....