![Kitu Kimoja](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/0B/68/rBEeM1hRgzOAJcjgAABlixTkQQ0442.jpg)
Kitu Kimoja Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2014
Lyrics
Kitu Kimoja - Avril
...
Mimi na weee
I wish you'd see
How pretty I look
In this shoes
That you bought for me
? My time Natamani
Ungeona how happy you make me
Haijalishi kuwa haunioni
Ninachodhamini ni mapenzi yetu
Mimi na wewe
Kitu kimoja
Sioni haya
Tukiwa pamoja
Mimi na wewe
Kitu kimoja
Sioni haya
Tukiwa pamoja
Mimi na wewe
Mimi na wewe
I wish you'd see
The stars in the sky
Just to know how amazing they look
I wish you'd see my love is all for you
Alafu ucheki wasee wakibambika
Haijalishi kuwa haunioni
Ninachodhamini ni mapenzi yetu
Mimi na wewe
Kitu kimoja
Sioni haya
Tukiwa pamoja
Mimi na wewe
Kitu kimoja
Sioni haya
Tukiwa pamoja
Mimi na wewe
Mimi na wewe
You use your heart to see what most with sight don't see
Waona kila jinsi ya kunifurahisha
Wafanya nihisi mapenzi ya kweli yapatikana
Mimi na wewe
Mimi na wewe
Mimi na wewe
Mimi na wewe
Mimi na wewe
Twende twende
Mimi na wewe