![In Love](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/85/08/rBEeMVuc2D2AGy1VAADWvxAhaZs319.jpg)
In Love Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2018
Lyrics
In Love - Avril
...
we ndo yangu moon
kama tu ile nazi umeninoga
nishakuwa dhaifa kwa penzi ugonjwa
we ndo nafuu
niwe wako Bavuu
hisia kimahaba umezikonga
na ni bora niweke wazi
tena uwambie
ata ukinikwaza sitokuchoka
moyo wangu ushikilie
wasije kukupora ukadodosa
venye wanipa ndani eeh
wallonitesa nyuma washanitoka
wafanya nikufikirie
michipuko ya nini umenitosha
coz all I need is your life
nipe kwanza
wako upendo
hawakujali walicheza wangu moyo
kuna watu na viatu
sikujua ina hili
sindano umenitoa
na stress imepoa
we ndio wa kunioa
acha nikupe fever
wanaliza