Nimpe nini? ft. G Boy & Kontawa Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Nimpe nini? ft. G Boy & Kontawa - Ndaro
...
Najiuliza nimpe nini kubali niwe naye jamani nimpe nini ili anijali nifurahi kuwa nae
Ama Nimpe MBA MBA MBA
Nimpe mbe mbe mbe
Nimpe mbi mbi mbi mbii
Nimpe ooooh nimpe oooh
Nimpe MBA MBA MBA
Nimpe mbe mbe mbe
Nimpe mbi mbi mbi mbii
Nimpe ooooh nimpe oooh
Ooh nimezama nimekwama sijiwezi aaah
Akinitazama ananichanganya sijiwezi aaaah
Ampa nimpe mapenzi ama nimpe show
Ama nimpe door Ama nimpe roho
Ama nimpe mapenzi Ama nimpe show
Ama nimpe roho
Au baaasii
Nimedata na mapigo ila tatizo lake kachoyo
Nawaza nimpe Figo maana wengi walishampaga moyo
Ama nimpe zoko zoko zoko zokoo
Hivi ataweza chezaa ata weza chezaaa
Ama nimpe huku huku huku
Nauliza atapaweza
Atapawezaa
Ama Nimpe MBA MBA MBA
Nimpe mbe mbe mbe
Nimpe mbi mbi mbi mbii
Nimpe ooooh nimpe oooh
Nimpe MBA MBA MBA
Nimpe mbe mbe mbe
Nimpe mbi mbi mbi mbii
Nimpe ooooh nimpe oooh
Oya nimpe kiepi yai chips zege
Zilizochanganywa na kokoto
Ko ko to
Ama kichwa kisicho na nywele mhhh
Sikinapendwaga na watoto
to to to
Aweee naomba nipite nae
Ama nimpe cheka tu wachekeshaji wakagombane na coy
Mi niliwaza nimpe crown ila naona kwa kiba sitoboi
Nitampa vitu vya thamani baby Wangu aenyoy
Ata akitaka meno ya Tembo
Nitaongea na mwanangu konde boy
Kwanza mzuri Ameumbwa umbwaaa
Amenyooka hajaungwa ungwa
Hafananishwi na mambwa mbwaa mhh
Nami sina kitu nayumba yumba
Nadaiwa kodi na mwenye nyumba
Yaani sina mchele naunga ungaa naunga ungaa naunga ungaa
Oya wanangu nimpe nini
Nimpe MBA MBA MBA
Nimpe mbe mbe mbe
Nimpe mbi mbi mbi mbii
Nimpe ooooh nimpe oooh
Writer:Mozee Moses
Lyrics :@mozeemoses1