Wera Lyrics
- Genre:Afro Soul
- Year of Release:2009
Lyrics
Wera - Sauti Sol
...
pambazuka amka aah wera ni moja muziki yaningoja
na leo Nina kalamu karatasi nielimishe nirekebishe maisha
wera wera nielimishe nirekebishe maisha
nibadilishe
wera wera nielimishe nirekebishe maisha
bogea tokomea kwa hii muziki nikitafuta riziki nikipata nilie bwata na nikikosa hohe hae nivyo nayo
wera wera nielimishe nirekebishe maisha
nibadilishe
wera wera nielimishe nirekebishe maisha
muziki nitafanya mapato nipate
nizubae nikose
muziki nitafanya mapato nipate eeeh
lyrics by Ascar nduku