Mafunzo ya dunia Lyrics
- Genre:Afro Soul
- Year of Release:2009
Lyrics
Mafunzo ya dunia - Sauti Sol
...
Mafunzo ya dunia
Niishi ni ose
Nisote nikope
Nipate ya wote
Utatembea pengi
Na macho ni mingi
Sikio ni mbili
Tumia akili
Uwe wa kwanza
Usiwe wa pili
Maisha si movie katika hizi enzi
Oooh dunia mbona hukunipa penzi
Maisha haya kwako hapa ni magumu
Ninavumilia mwisho nitajivunia ya dunia mbona hukunipa penzi
Mimi nina shangaa
Mimi nina shangaa (aaaaah)
Mimi nishangaa
Mimi nina shangaa (aaaaah)
Mimi nina shangaa
Nilifanya nini Ili niishi ivi
Maisha yangu yangu duni
Naimba hii mziki nipate riziki
Mwisho nitanawiri niendeshe mercedes
Nitapaa shida za dunia niziache nyuma niendelee
Nitapaa shida za dunia niziache nyuma niendelee
Dunia mbona hukunipa penzi
Maisha haya kwangu hapa ni magumu
Ninavumilia mwisho nitajivunia
Ya dunia mbona hukunipa penzi
Mimi ninashangaa (aaaaaah)
Mimi nina shangaa , mimi nina shangaa
Mimi nina shangaa (aaaaah)
Mimi nina shangaa , mimi nina shangaa
Mimi nina shangaa (aaaaah)
lalalala lalalala lalalala
lalalala lalalala lalalala
lalalala lalalala lalalala
••••√√√√√••••••••√√√√√√••••••••••