Kitu wrong Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2024
Lyrics
Hakuna kitu wrong
Kwenye jinsi tunavyofeel
Hakuna kitu wrong with the way our souls connect
Vipo vitu vingi wrong
Kati ya umri wetu
Vipo vitu vingi wrong kati ya feelings zetu na nini watu watasema
Na vikwazo ni vingi ma
Maswali mengi ma
Though wote tunafeel the love
Na ukweli mgumu sana
Ngumu kukubali mama
'Cause wote tunafeel the love
Ila we we we
Nikiwa na wee
Nafeel high
Nikikuwaza wewe
Nafeel higher
Sijakutana na hata mmoja kama wee
To make me feel this high
Nikiwa na wee
Nafeel high
Kama wee kama wee kama wee
Kama wee kama wee kama wee
Vitu vyote hivi wrong
Kwenye jinsi tunavyofeel
Vitu vyote hivi wrong
We have to accept them we can't make it no way
And there is no way
This can't just sit right
Whether turuke ama tujump tucry
Na vikwazo ni vingi ma
Maswali mengi ma
Though wote tunafeel the love
Na ukweli mgumu sana
Ngumu kukubali mama
'Cause wote tunafeel the love
Ila we we we
Nikiwa na wee
Nafeel high
Nikikuwaza wewe
Nafeel higher
Sijakutana na hata mmoja kama wee
To make me feel this high
Nikiwa na wee
Nafeel high
Kama wee kama wee kama wee
Kama wee kama wee kama wee
Mrembo flani kama wee wa kuvutia kama wee
Sijaona kama wee