Binti mwenye ndoto ft. Gerda Chambala Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Rr rrrrrrrrreee
Usilale usilale inuka upambane wewe
Usilale usilale inuka upambane wewe
Mmmm
Zile zama zimepita mambo yamebadilika
Binti ndoto wa Afrika kikubwa kuchakalika
Uwe mbunifu mavazi kilimo na ufugaji
Uchoraji uchongaji
Zote hizo mama kazi
Usilale usilale inuka upambane wewe
Inuka upambane inuka upambane wewe ee eh
Usilale usilale inuka upambane wewe
Usilale wewe
Mama ntilie kazi sawa
Uwe chapakazi awa
Ongoza jahazi sawa sawa sawa sawa sawa
Upo kwenye tehama sawa
Kilimo ni sawa sawa
Ususi kushona sawa sawa sawa sawa sawa
Ooooooooww pambana
Pambana pambana binti mwenye ndoto
Ooooooooww uuuuuuuuh uuh Kazana
Kazana kweli kweli kweli kweli
Binti mwenye ndoto mwenye ndoto Binti mwenye ndoto Pambana
Binti mwenye ndoto mwenye ndoto binti mwenye ndoto
Kazana
Uuuuuuuuh uuuuh
Uuuuuuuuh uuh uuhh
Yeaaah yaayaayah
Pongezi kwa mama Mama Samia ah aah
Mambo mengi sana
Ametufanyia aah
Mabinti ametupambania aa aaa
Nasi twajivunia kweli kweli
Ushupavu wako mama
Uadilifu wako mama
Na utashi wa kuongoza taifa la Tanzania aaaa
Uuuuuuuuh huu aaaaah
Yayayayayayayaya heeya
Ooooooooww pambana pambana eeh
Pambana
Binti mwenye ndoto pambana wewe weeh
Ooooooooww uuuuuuuuh uuh Kazana
Kazana kweli kweli eeii ayayayaya
Binti mwenye ndoto
Binti mwenye ndoto
Mwenye ndoto
Binti mwenye ndoto
Pambana
Binti mwenye ndoto
Binti mwenye ndoto mwenye ndoto Binti mwenye ndoto
Kazana
Uuuuuuuuh uuh
Uuuuuuuuh uuh
Uuuuuuuuh uuh
ayayayaya
Rrrrrrrrreee