![Mtasubiri](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/24/4c6984dcb8a44cb1bf766b10f1efc5fcH3000W3000_464_464.jpg)
Mtasubiri Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Uuuh
Uuuh mama maah
Eeeh
Cyber
Moyo umejikusanya
Sehemu yake huwezi kujitawanya aah
Naona raha anavyonipendaga
Nikipost hawezi kunipitaga aah
Maneno yake ni matamu keki
Mabusu yake moto baby
Ananita daddy namuita mommy yoyoyoh
Kazuri zuri yani baby face
Jicho lege lege hilo la ulevi
Ndani hatokagi my hakeshagi popopo ooh
Yoh nono
Ananifanya usiku napata tabu
Lala yangu bila yeye ni adhabu
Akinunaga kama anatabasamu
Nampenda sana me atanitoa damu
Uuh wewe
Mtasubiri sana
Huyu ndo baby wangu hatutoachana
Ah aiiy poleni Ananipenda sana
Huyu ndo my wangu tumeridhiana
Mi na ye damu ah damu damu damu damu damu mi na yeye
Olalaah damu ah damu damu damu damu damu mi na yeye
Mmh
Olala olalala ah olalala
Mboga mboga tembele anazichuma
Vilaki laki mchele ananipuna
Kwake nipo mwenyewe sio yuda
Na penzi letu sherehe ngoma buruda aah
Jamani moyo
Amekiri ye mwenyewe
Hawezi niacha hataki itokee
Anavyonibembeleza ka mtoto
Wallah me kaniweza tumbo joto
Siwezi kumueleleza niko moto
Kwake nimeshajipeleka siombi pooh
Yoh nono
Ananifanya usiku napata tabu
Lala yangu bila yeye ni adhabu
Akinunaga kama anatabasamu
Nampenda sana me atanitoa damu
Uuh wewe
Mtasubiri sana
Huyu ndo baby wangu hatutoachana
Ah aiiy poleni Ananipenda sana
Huyu ndo my wangu tumeridhiana
Mi na ye damu ah damu damu damu damu damu mi na yeye
Olalaah damu ah damu damu damu damu damu mi na yeye
Mmh