![YAMENICHOSHA](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/24/270fb2ec80f54050880146ab2ec3a424H3000W3000_464_464.jpg)
YAMENICHOSHA Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2024
Lyrics
YAMENICHOSHA - Deeblery
...
#YAMENICHOSHA
Ooooh aaah aaaah
Onananaaaah
Sina Deni nawewe Nashukuru Nishalipa Penzi
Sina Uhuru nawewe We unanifichaFicha Mpenzi
Najiona mwenyewe nikama Nalazimisha Upendi
Minakupenda wewe ila Hujari
Sitaki Sitaki Penzi lakunidhihaki,Kuniona Mtu Baki(Lie)
Moyo wangu Kitetee Nakosea nasamehe
Kila kitu ninyenyekee (Minanawa aah)
Muda wangu uchezee nawengine ukashee
Unatakanisherekee (Sio Sawaa)
Bridge
Umenihama Dawati Siti yetu Moja Umevunja mikakati
(Mnyonge sina Hoja)
Nitumie mihadarati
(Nikusahau Ngoja )
Shida nipenzi la radhati au Ndoshafukia nyota
Chorus
((Yamenichosha Yamenichosha Yamenichosha
Mapenzi* iiiiiih
Yamenichosha Yamenichosha Yamenichosha
Kuyashoboka Mapenzi)) iiiih
Instrumental
Verse 2
Oooh ooh mmh ooohoo
Sawa sina nachomiriki dhambi,
Ningekuwa najina ungenipendea basi,
Licha yakujinyima nkuridhishe nafsi,
Kama wewe sina ntampata wapi?
Nawaza nasipati majibu hayakati kiu maji matitu
Ndoukanitosa,Kwa kitu mbayaa
Machozi usinifute kwatishu,yashabubujika kuonakitu
Labla kosanikuona wivu hayaaa....
Moyo wako Kwa wengine huna nafasi hiii
Ila Mimi ukijandani unijari aaah
*Kosa langu nini mwayaaa (oooh)
Ama sura yangu ndio mbaya(oooh)
Weniambie eeh kitu gani nikibaya (ooh)
Nilifanya mpka ukabadirikaga*
Bridge
Umenihama Dawati Siti yetu Moja Umevunja mikakati
(Mnyonge sina Hoja)
Nitumie mihadarati
(Nikusahau Ngoja )
Shida nipenzi la radhi au Ndoshafukia nyota
Chorus
((Yamenichosha Yamenichosha Yamenichosha
Mapenzi* iiiiiih
Yamenichosha Yamenichosha Yamenichosha
Kuyashoboka Mapenzi)) iiiih
Songwriter Abdallah=Deeblery
Producer Sharifu=Medical
Lyrics writer=Mkaleboybeatz