Nice Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2018
Lyrics
Nice - Eko Dydda
...
kwani kumbe mimi natembea kwa imani..
drop it drop it
navile umeninice joo nice joo
vile umeninice joo nice joo
vile umeninice nice nice
navile umeninice nice nice
navile umeninice joo nice joo
vile umeninice joo nice joo
vile umeninice nice nice
navile umeninice nice nice
wanasema money on mind
my mind on my money
nimegrow huwezi nipata na shilingi kwa kichwa
gospel everytime ni injili kwa kichwa
hii huwezi pata kwa vitabu yesu ndo teacher
spiritual maturity level twafika
iwe by road ama air tutafika
pali niwe pale nawe nihakika
tumechoka kula mogoka si tutapika
unalive in the lord be in the lord
mi huskiaga fit in the lord lift in the lord
kwako niko available ready niko ka rambo si shaki sibadiliki kinyonga sina colour more
sinatembea leo kwa imani
si natembea leo kwa imani
drop it drop it drop it
navile umeninice joo nice joo
vile umeninice joo nice joo
vile umeninice nice nice
navile umeninice nice nice
navile umeninice joo nice joo
vile umeninice nice joo nice joo
vile umeninice nice nice
navile umeninice nice nice
kuwa naye niko relax mode niite lazy
si amaparent yah mi ni baba mlezi
tuna crack jokes ka ngozi ya crocodile
happy family smile for the photo guy
action louder basi don't talk
kutembea na yesu ndio ndoto
kusifu yesu ndo logo na motto
ka ni uradi wacha mi nichome photo
smile louder tunawaharibu maskio
hawanariflecti huu si kashkio
harder bad face we ndo ulimaskio
future is bright tuko past hiyo
umenipa bibi na ukanipa wakidi na
venye tunaishi nadishi zaidi sidi na
bible mkononi nasoma injili read it now
itabidi nikupe sifa na sifa sifa zaidi now
sinatembea leo kwa imani
sinatembea leo kwa imani
drop it drop it drop it
navile umeninice joo nice joo
vile umeninice joo nice joo
vile umeninice nice nice
navile umeninice nice nice
navile umeninice joo nice joo
vile umeninice nice nice
navile umeninice nice nice