Wacha Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
Lyrics
Wacha - Eko Dydda
...
wacha wacha
Kwa Yesu na'focus si mi niko watching
Yesu nilinde shetani ako poaching
Wakati mwingine siamini ma'torchi
Si Wewe mlinzi kuliko ma'watchie
Kkrrrrraaa..
Wacha wajue unaweza
wacha wajue unaweee
wacha wajue unaweza
wacha wajue unaweee
(wacha wajue x6)
----
verse 1
siwezi jifanya mangumi macommando Schtwerz-nigga Arnold
Yesu ndie amefanya nimefika mahali nimefika place bila salo
Usicomplain usicomplain najua amekubless bila salon
Mi nasifu Yesu ndio maana nasema "praise JESUS alone"
Dunia yote Mungu ndio The Ow'ner
ka' si Jehovah Rafa hatunge'po'na
So to GOD be The Glory and Ho'nor
Yeah, YESU ndio Mwangaza tuna'o'na
Ametupa freedom indeed, freedom indeed si a little but freedom there
Hakuna cha ku'hustle we don' care
Life inakwama hakuna iko there
Mayai boiro wananigongea
Okay, cash iko na'know
I've been dancing for my Lord
Injili tamu ka shingo na know
Okay, cash iko na'know
I've been dancing for my Lord
(Injili tamu ka shingo na'know x2) (true)
Shajua nani anaponya healings at last
Na ka' una'catch feelings vaa gloves
**interlude**
Mi niko watching
Yesu nilinde shetani ako poachin'
Wakati mwingine siamini ma'torchi
Si Wewe mlinzi kuliko ma'watchie
Kkrrrrraaa..
Wacha wajue unaweza
wacha wajue unaweee
wacha wajue unaweza
wacha wajue unaweee
(wacha wajue x6)
----
verse 2
Kwa wanasiasa mambo b'arab'araa na tuna bad roads (ey)
Cook it raw with the politics kuna aprons
Nina appetite ya kuonja new taste amen (aha)
Naona GoodNews™ kwa Bible, New Testament (aha)
Gazeti tunauza nationsss standard
WORD Yako hapa ndio sssstandard
Kwa YESU nasimama, mi na sstand-up
Focus on JESUS tupa ssstunners
Blessings Umenipa ni zile za "checki ka ime'come kwa phone"
We decide na mi ni'perform
Send me Sir na mi nta'Go
Tuna'go crazy, go crazy go ni vile unapenda wiii sana
Tuna'go crazy, go crazy go si vile tunapenda weeeed sana
Ona, ona vile ameniweza sahii
Ona vile amenidunga sides
Ona vile aaih
God amenidunga better Life
Mbona niambie shetani lies
whatever the lies
Tenda makuu, BWANA Ametenda makuu
Baraka napata juu
nasonga tu
Mbele ni kama tattoo
Bila WEWE nani ata'do?
---
**interlude**
Kwa YESU na'focus si mi niko watching (true, true)
Yesu nilinde shetani ako poachin'
Wakati mwingine siamini ma'torchi
Si Wewe mlinzi kuliko ma'watchie
Kkrrrrraaa.. (true dat, true dat, true dat)
Wacha wajue unaweza
wacha wajue unaweee
wacha wajue unaweza (true)
wacha wajue unaweee
(wacha wajue x6)
Boomplay Lyrics by Dannie Nimrod