Nielewe Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Chorus:
akuna tena kama wewe unielewe
mwenye mvuto naeshima kama wewe
nisipo kuona minapata na kiwewew
please baby usiniache mwenyewe x2
chorus:
siku miaka ili katika ndani ya maisha
ninavyo ishi kijita watu niliwadatisha
awakuniona na demu na kwenye dogi
si doji wengi wakaniuliza yupo wapi shemeji
ukimcheki real nigga msela sio shololo
wengine wakahisi labda nakasoro
nikazidi ku hustle kuzidi kuvuja jasho
kila nikitakacho sio nikipatacho