maisha kama vita Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
chorus: maisha kama vita vitaa
kila njia tunapita sote tunapita pitaa
kuna kupata na kukosa kosaa
akuna aliye jieneza kabisa
verse 1: kudadadeki this life is the fight
kuanzia gheto mpaka kwetu street
asubui mpaka inafika night
njaa kali sijakula hata msosi
zaidi nilipopiga mswaki namkoni
mimi nimechoka sina hata cent
nipo maskani nagongeya story
nitawini vipi ndio mina discous
ninazidi kuzisaka bila ku exzost
kwani kama aujuwi usichoki ku ask
najiuliza ni zvipi planning zangu zita tick
nafauli maisha vipi uko nime fail class
nandomaana na kuwa msela wala sipendi
chuki nakuleteya lazima niwajulishe
machizi isio hadithi sometime
nashinda ndani hata inje stoki
verse 2: safari ni ndefu ila naamini tafika
kwenye pako njia apakosi njia
wanasema siku izi nawakubalisha
kwa kazi nayo fanya naamini
nikifanya kweli tasonga mbele
nijiga tena aaaa ni jiga tena aaaah
verse 3: