Baba ft. Walter Chilambo Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Baba ft. Walter Chilambo - Asagwile
...
baba sio lazima Akuzae
atakulea hata kama siyo mwanae jamii iache kumtupia mawe baba ni kichwa baba ni nguzo.
CHORUS
Nakupenda baba, Mungu akulinde baba, nakuombea baba Nakuheshim baba.
hakuna pingamizi katika ubora wako, na hakuna simulizi inayotosha sifa zako, ndio maana nakuombea najua utanisikia mahari popote ulipo ndio maana nakusifia najua utanisikia mahari popote ulipo.
CHORUS.
Ukimkuta baba barabarani anaongea pekeyake basi just kuna vingi moyoni anapambana pekeyake na siyo kila Mwanaume anaweza kuwa baba utamkuta na kiatu pair moja make wake ana pair Saba national ndio upendo wa baba hatoi chozi lakini anaumia mama watoto matunzo kumpatia furaha yake kicheko cha familia baba ni kichwa
baba ni nguzo.
Sifa kuu ya baba baba hakimbii majukumu sifa nyingine ya baba anapambana na magumu, watoto, kamuulize baba, Ada ya shule, kamuulize baba Kodi ya nyumba kamuulize baba ndio maana nakuimbia najua utanisikia mahali popote ulipo, ndio maana nakusifia najua utanisikia mahali popote ulipo.
CHORUS.
BABA heeeee, baba huyo baba huyo 2⃣ ametoka na jembe shambani namkungu wa ndizi began, baba huyo baba huyo 2⃣ ameleta chakula nyumbani kaleta tabasamu nyumbani,
kwanza mnamuonaje baba yangu
ehhhhhhh aiiiiii aiiiiii mnamuonaje mshua ehhhhhhh aiiiiii aiiiiii, muone anatabasamu baba yangu ,mwenzenu nampenda baba yangu kipenzi cha mama ndio maana nakuimbia najua utanisikia mahali popote ulipo ndio maana nakusifia najua utanisikia mahali popote ulipo.
CHORUS.
mixing doctor mwambie kisomundende awalete wababa wote Haluzeman walete baba. ahhh Serebuka baba Serebuka dance baba dance
director;teacher kontawa
Lyrics dropped by ;
COBRA JR