Rayvanny Nyamaza
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
Lyrics
Rayvanny Nyamaza - Watermelon Msela
...
weka pombe, sigara ,chini subiri tuongee Zima kijiti marijuana zanini ngoja tuongee mbona ulisema mengi ukitaka nipotee sa umefanya Nini na ulisema Nini Wala usi jitete macho hayana pazia nilimuona anavutia naye kanikubalia kumbe moyoni unaumia Dunia imejaa visanga ubinadamu umekuwa majanga tembo anaefugwa kwa Banda anataka kula kuku pia na vifaranga mungu tu akusamehe wewe Nika ndugu yangu upunguze munkali uadui wanini mwenzangu wee ukitenda kosa na ujaomba radhi unakosea kosea mama yake mzazi huruma ungemwonea mwonea chunga kinywa kiwe na kituo hekima ndo iwe funguo maneno yanini unajivua nguo kumbuka ulimwengu ni kama chuo ungenyamaza Kaa kimya Bora ungenyamaza kama huna la maana ungenyamaza ukikosa heshima Bora ungenyamaza Bora kukaa kimya ungenyamaza usiongee Bora ungenyamaza Bora ungenyamaza ungenyamaza tu kuwa muungwana
mmmhhhmmm mmhhhhhhh hasira hasara Mimi ni ndugu yako ukanitoa kafara ukakesha hukutaka kulala ukipambana ni haribikiwe kaka wa mtwara ukasahau mapenzi ni siri Tena siri ya wawili kilicho kuponza maadili tamaa ukashindwa isitiri tunza heshima yako na mashabiki zako Hadi bungeni na unapotongoza warembo boksa usiweke pembeeni macho Hana pazia nilimuona anavutia nae kanikubalia kumbe moyoni unaumia
ukitenda kosa na ujaomba radhi unakosea kosea mama yake mzazi huruma ungemwonea mwonea chunga kinywa kiwe na kituo hekima ndo iwe funguo maneno yanini unajivua nguo kumbuka ulimwengu ni kama chuo ungenyamaza Kaa kimya Bora ungenyamaza kama huna la maana ungenyamaza ukikosa heshima Bora ungenyamaza Bora kukaa kimya ungenyamaza usiongee Bora ungenyamaza ungenyamaza tu kuwa muungwana
Similar Songs
More from Watermelon Msela
Listen to Watermelon Msela Rayvanny Nyamaza MP3 song. Rayvanny Nyamaza song from album Oboba is released in 2023. The duration of song is 00:03:30. The song is sung by Watermelon Msela.
Related Tags: Rayvanny Nyamaza, Rayvanny Nyamaza song, Rayvanny Nyamaza MP3 song, Rayvanny Nyamaza MP3, download Rayvanny Nyamaza song, Rayvanny Nyamaza song, Oboba Rayvanny Nyamaza song, Rayvanny Nyamaza song by Watermelon Msela, Rayvanny Nyamaza song download, download Rayvanny Nyamaza MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
Mary wilfred 2ddpn
nahyrvany
so good
good