Sina ft. Madee Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Sina ft. Madee - Barakah The Prince
...
is another one
iyee iyeee mmmmh aahh
Verse 1
Kumekucha asubuhi nyota yangu imechafuka
walionipenda leo maadui na mke wangu ameondoka
pa kushika mi sijui ila tambua nakukumbuka
sina cheo sina tui mimi muda wote nahangaika
ugumu wa maisha umenifunza mi mchana mi najuta usiku silali
upweke umeniuma mwenzio jamani ehh mamaa ooh baby eh
siku inapita mwenzio sili nikila hakipiti kwangu kinywani
hiyo yote sababu yako oh baby I love you
Chorus
Ila tambua nipo sina sina sina sina sina
oh kipenzi changu chochote sina mie sina sina sina sina sina
marupu ulionifanya niringe vile mamaa eh sina sina sina sina sina
sina hata mali oh sina hata gari kipenzi changu ooh unihurumie sina sina sina sina sina
Verse 2
hata mama yangu aliyenizaa nae baba wamenikataa kitaani sina maana kila Kona ni wakusemwa
sina giza sina mchana nimerudi kuwa kiokote sana
jichanje kati mi ni mnyama wale walionipenda wote sina walionisifu mashabiki sana kwa leo sina poleni sana
nimerudi kuwa mwenye kiki sana oh baby sina ooh mie sina
ila nakuhitaji kipenzi changu eeeh ehh
wewe ndio furaha yangu
kuna maana ilivyokubwa kwangu nielewe baby we
wewe ndio furaha yangu I need you home
Repeat Chorus
Verse 3
sina utajiri sina mali sina
sina mfadhiri wa magari sina
sina chochote ambacho najivunia katika hii Dunia yenye vioja kilo mia
naishi kama ndege nahofia manati
nazikabili sana ngebe za kule mtaa wa kati
sio kama naogopa nyoka wenyewe hawang'ati
naishi kama lofa ila sina hata laki
nimebaki mwenyewe nielewe usiolewe japo sina mali furaha yangu ni wewe
niacheni nilewe mawazo nisigongewe japo sina mali furaha yangu ni wewe
Repeat Chorus