Namkumbuka Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2021
Lyrics
Namkumbuka - Barakah The Prince
...
Bado ninayo Imani ninayo sababu ya kumkumbuka, tulifanya mengi nilipokuwa naye
Tena ninayo Imani ninayo sababu ya Kuyakumbuka, mana tulifanya nilipokuwa naye
Ningezama sikudhani huzuni ilipoingia, Katikati ya bahari ngalawa akaniachia
Kaoeka akaenda mbali ningefanya nini eeh ningefanya nini eeh mvivu wa mbizi eeh
Japo nakumbuka mengi(kwa yeye) eeh (kwa yeyeye) si tuliyafanya mengi(mi na yeye) eeh (sitamchukia)
Mazuri yapo Japo sio mengi(oh yeye katenda yeye) lakini bado siwezi kwake yeye
Mwambiiiieni mwambieeee mwambie yeye(namkumbuka Sana)
Mwambiiiieni mwambieeee mwambie yeye(m namkumbuka mama)
Mwambiiiieni mwambieeee mwambie yeye(mi nammiss Sana)
Mwambieeeni mwambieeee mwambie yeye(mi namkumbuka mama)
Japo nilificha mbaya yake nilijionyesha, nikawa kama mtumwa wake nilikondesha
Tena mengi wazi wazi hadharani alijinionesha ya aibu ooh ya aibu uuh
Kukurukakara gasi vya ndani akuna, naishi kwa wasi wasi ooh beiby nazama
Mawazo zaidi yataniua wa kumgawia sina, ooh beiby ooooh ooh beiby ooooh
Ila bado nakumbuka mengi(kwa yeye) ieeeh(kwa yeyeye), si tuliyafanya mengi(mi na yeye) aaah(sitamchukia)
Mazuri yapo Japo sio mengi(ooh yeye) ieeeh (katenda yeye), huku bado mi siwezi kwake yeye