I miss you Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Sikukujua hapo jadi zamani,ila mapenzi yako ni nikamili
Mawazo yananizonga kichwani nkitazama picha zako ndozaidi
Sikatai nimekosaa no sa kwanini univunje rooh
Nafsi nyangu inakwita njoo angalau unipoze roo
Mimii nimekumisi sikia
Mimii eeh mwenzio naumia ai
I miss you lala,I miss you nikiamka
I miss you na usiku nikilala I miss you
Oo mimii nakumisii nakumisii aeee kujaa kuja eeh kujaa
Baby wangu toka uwende mimi tafaranii we mtamu kama maembe sio kachumbari
Nitakuja kwenu nao watu wenu wafurahie
Angalau nami ni wenu nalo penzi letu washuhudie
Nazo ndege tutapanda tutazunguka kote
Kidogo changu nitachanga nikupatie vyote
Niruhusu niwe wako ma
Penzi letu hutalalanja
Na mabusu nitakupa raa
Baby nakupenda sanaa
Mimii nimekumisi sikia
Mimii eeh mwenzio naumia ai
I miss you lala,I miss you nikiamka
I miss you na usiku nikilala I miss you
Oo mimii nakumisii nakumisii aeee kujaa kuja eeh kujaa