![Peponi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/25/c1af89c4b8a64ab192dd572752bc5872H800W800_464_464.jpg)
Peponi Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2024
Lyrics
Peponi - Rayvanny
...
tuna tafuta helaaaa ili mtuchune
tumeshakaa kikao chetu wanaume
... s2kizzy baby
eeeh !!
watoto wachuga na moshi wazur ukatae. "ukatae"
kama ukitaka kimo na shape tafuta mmasaai. "mmasaai"
mahaba karibu tanga na zenji,mombasa utafurahi. "utafurahi"
kuna watoto wa tabora ,singida kama uko dubai
Yale mashap.... mashepu karibuni mbeya kwetu
hata mwanza,bukoba ni wenzetu usiombe akatize dada getu.
kiruuuuuuuu twenzetu wamakonde viuno ni kwa stepu
akikupa mngoni uwe peku kumuacha arudi bwana Yesu.
aaaaah aaaah
tunatafuta hela ili mtuchune
tumeshakaa kikao chetu wanaume
mademu wanapenda hela acha tujitume
bahili upewi bure kama buyu na unune
iiiih peponi
wanawake weupe.
peponi
wafupi, warefu
peponi
wanawake weusi ..
peponi
na wenye mashape....
peponi
hadi na vimbaumbau ..
peponi
pe ...... pe.... peponi
pe..... pe ..... peponi
beat.........
aaaah yayayayayaaah
kigoma ,dodoma,musoma
eeeeehnhee
iringa mje ,ndani noma.
eehnheee
Mara na Babati utaona
sa kacheat Sumbawanga utakoma
yiiiih onyesha shape eeeehh
onyesha she she she she
watoto wa nairobi
onyesha shape eeeehh
onyesha she she she she
Hororo hawana kasoro
Napenda wapogoro wa morogoro
kenya ,uganda, Tanzania
Rwanda you make me Koro
Burundi na Congo am coming tomorrow
stop it...
okay who is your papa?
Vizo. come again.
Davizo
babe who is your papa
Vizo ... come again.
Davizo
ooooh
tunatafuta hela ili mtuchune
tumeshakaa kikao chetu wanaume
mademu wanapenda hela acha tujitume
bahili upewi bure kama buyu na unune
iiiih peponi
wanawake weupe.
peponi
wafupi, warefu
peponi
wanawake weusi ..
peponi
na wenye mashape....
peponi
hadi na vimbaumbau ..
peponi
pe ...... pe.... peponi
pe..... pe ..... peponi.
kamix lizer
created by rayvanny chui and written by @ibrahim yahya on instagram & on tik tok as @badmanweedie