JINGJONG II Lyrics
- Genre:Electronic
- Year of Release:2024
Lyrics
JINGJONG II - EL CARTEL 4760
...
*intro*
What's Popping
Password On the Beat
*Verse*
Buda ana kitambi anataka kumteka
Apa rada safi huyu msupa tu kus*swa
Na ya kwanza ya pili uyu msupa ashawashwa
Ashamedi anataka tu chumchum
Ni ka slim na sipendangi mapumpum
Me napenda Nyash tu ka Nellythegoon
Mechi ndo form cheki nakuja soon
Kama ni ya ufala utakula doom
Uku area Mandom si uburn noon
After that me nafeel kufika kwa moon
Kutingika kwa mongo nafeel boom
Sina jaba lakini nimemeza tool
Form ni gani nataka tukacheze pool
Vile niko Ganji me ni Tycoon
Na wikendi sherehe tunafika soon
Order ya kwanza ya pili ukitaka food
Huyu msupa hana rada anataka Who?
Ameiva nashindwa me nitado
Kwa mapaja nacheki ana tattoo
Rada safi nataka kumake move
Kusongea nafeel anasmell good
Kusmile anataka aty nimchum
Kulalisha siwezi ni fast tu
Leta order ka zote ntalipa tu
Huyu msupa kidogo ananiita boo
Mambo live usidhani hii ni ya zoom
Sina time me nataka tufike room
Ka si movie anawatch izo ma cartoon
Hii ni game na unajua hainanga rules
Ka ni stima nazima niwashe noon
Hii ni game na unajua hainanga rules
rules
rules yoooh
*Hook*
Niko Jing jong naachia tu Mamonk
Key streets wamejua me ni King
Aty Jing jong naachia tu Mamonk
Key streets wamejua me ni King
Aty King piga lean aty King ako Jing
Vile tumezima tunajua tumedim
Aty King piga lean aty King ako Jing
Vile tumezima tunajua tumedim
Niko Jing jong naachia tu Mamonk
Key streets wamejua me ni King
Aty Jing jong naachia tu Mamonk
Key streets wamejua me ni King
Aty King piga lean aty King ako Jing
Vile tumezima tunajua tumedim
Aty King piga lean aty King ako Jing
Vile tumezima tunajua tumedim